Tangazo la dharura / Urgent News !!!.

Posted by: on Jul 15, 2015 in School News, Special Event | No Comments

Kwa Mpendwa mzazi/mlezi wa mwanafunzi wa kidato cha tatu/Form 3,

Uongozi wa shule ya St Peter Claver Dodoma, unapenda kuwaarifu kuwa tarehe 15/08/2015 ndio itakuwa siku ya “Parents day” yaani siku ya kutathmini maendeleo ya wanafunzi kiujumla. Siku hiyo tulitaranjia ifanyike tarehe 18/07/2015 lakini siku hiyo itakuwa sikukuu ya Idd, hivyo tumeona ni vyema tupange tarehe nyingine ili wote washiriki.

Samahani kwa usumbufu uliojitokeza. Upatapo ujumbe huu mwarifu na mwingine.Asanteni na Kheri kwa sikukuu ya Eid El-Fitre.